Annah simbeye Member Joined Sep 6, 2021 Posts 13 Reaction score 10 Feb 28, 2023 #1 Hello mdogo wangu ni dereva wa magari makubwa pia anaweza kuendesha gari ndogo, analeseni ambayo inafanya kazi, anatafuta kazi popote akipata atafanya kwa uaminifu wote. Atakumuendesha mtu cha msingi apate riziki 0687904748 au 0678788141
Hello mdogo wangu ni dereva wa magari makubwa pia anaweza kuendesha gari ndogo, analeseni ambayo inafanya kazi, anatafuta kazi popote akipata atafanya kwa uaminifu wote. Atakumuendesha mtu cha msingi apate riziki 0687904748 au 0678788141
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,029 Reaction score 21,527 Feb 28, 2023 #2 Ningekua na gari ningekutafta mkuu ila Sina Anyway nakuja PM kukusalimia wewe