huyu dereva amezidi jamani anaendesha gari vibaya, ana overtake hata kwenye kona wala haangalii, sijui kwakuwa naendesha SU jamani hizo ni kodi zetu khaa
SU maana yake shirika la ummaSU ndio ainagani ya gari
huyu dereva amezidi jamani anaendesha gari vibaya, ana overtake hata kwenye kona wala haangalii, sijui kwakuwa naendesha SU jamani hizo ni kodi zetu khaa
mi siendeshi SU ila huyo dereva huwa nakutana naye mara nyingi asubuhi huku ninakokaa
Pole dada hiyo ndiyo maana ya SU..SINA UCHUNGUhuyu dereva amezidi jamani anaendesha gari vibaya, ana overtake hata kwenye kona wala haangalii, sijui kwakuwa naendesha SU jamani hizo ni kodi zetu khaa
maana yake SINA UCHUNGU.SU maana yake shirika la umma