TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,202
- 25,378
Hali inazidi kuwa mbaya hasa katika suala la rushwa, hapa Mbezi -Inter Chick kuna askari usalama barabarani wana tochi na wanazikamata gari hovyo.
Week ya nenda kwa usalama ikiwa inavuta kasi hawa jamaa nao hawalazi damu wakiwa barabarani, badala ya kutoa elimu wao wanatumia opportunity na kufanya yao.
Inavyoonekana hata madereva wanaokamatwa hawajui sheria za mwendo kasi wawapo mjini, hata sehemu nyingi hakuna vibao vya speed limit, ndipo inapelekea shida na kulipa fake fine zisizofika hazina.
Nawasilisha