kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,119
Waungwana habari za jioni?
Katika hali ya kushangaza na ya kushika tama, kwenye shavu la kushoto. Polisi wame mkamata kijana mmoja boda boda kwa kosa la kummeng'enyua mtoto mdogo mdogo wa kiume kwa kosa la kujiunga na kifurushi cha usiku mmoja miaka 30 jera.
Kisa kilianza baada ya mama wa mtoto huyo kupata Mwenza mpya, kwani muwe wake wa kwanza ambae ndio baba watoto huyo wali tengana. Hivyo ikabidi mama huyo mwenye chumba kimoja, amuombee mtoto wake wa kiume kulala kwa dereva wa boda boda mseja au bachela.
Bodaboda huyo mwenye pank dizaini ya sholo bwenzi, amesema toka awe na pikipiki aina ya boxer akili zake zimekuwa na speed ya ujinga kwa kasi ya 9G. Mara nyingi boda boda huyo akilala amekuwa anaota yupo maeneo Nataka shari Ukonga akiwa anahisi kuchungulia chungulia nondo.
Hata hivyo Polisi mmoja anaeitwa Tii bila shuruti ameomba sana wazazi wawe makini na watoto wao, hasa kutokana na vijana wengi kupotoshwa na picha za pilau lisilo na kachumbali kwenye simu zao.
Nae mjumbe wa eneo la tukio anaeitwa kinyapililo mpenda pazuri amesema, Wanandoa vumilianeni maana hakuna jambo zuri kama watoto kupata malezi ya wazazi wote wawili, kwani watakua katika misingi ya maadili.