Dereva Bajaji ana Maisha Mazuri Kuliko Watumishi wa Umma

Mkuu nimekaa na bodaboda na bajaji

Hizo hesabu usizisikie kwa story tu


Waulize wanabaki na ngapi mwisho wa mwezi





WATUMISHI WA UMMA ATLEAST KUSIWEPO NA HATA MMOJA ANAEPOKEA CHINI YA MIL 1 , na waweke mikataba lets say 5 years wanarenew


Hasa waalimu ,polisi , mahakama na madaktari
 
Boda boda zilikua zinalipa zamani miaka 2010- 2915,siku hizi zimekua nyingi sana,pia inategemea na Location.Sio kila sehemu boda boda zinalipa.Walimu huwezi kuwalinganisha na boda,kwanza nanuaga nawapa wanaleta hesabu.Yani ninunue boda afu mfanyakazi wangu awe bora.Kwa taarifa yako nyingi sio zao
 
Sorry 2010-2015
 
Mungu aliweka hivi vitu visaidiane!
Usiwadharau watumishi hata kama mishahara yao ni midogo!

Halafu huyo huyo mtumishi ndiye aliyekufundisha kusoma na kuandika mpaka unakuja kumdharau leo!
 
Sio bajaji tu yaani hata mimi mwenye saloon namzidi mtumishi wa umma,ila watanzania kuwaelewa ni kazi unaweza kuta mtu anaingiza 200k per month na bado anakuvimbia
 
Achana na utumishi wa umma ukaendeshe Bajaji
 
Acha kupotosha mimi ni mtumishi wa kawaida Sana bajaji ninazo mbili Tena kila baada ya miaka 2 nauza na kufunga mpaya ila maisha ya wanayoendesha hizo bajaji ni kawaida ukinilinganisha nao na mtaji niliupata katika utumishi wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…