mkuu naomba nichk kipitia mamba 0784270389kama bado hujampataHabarini,
Dereva anatafutwa,awe mkazi wa Dar es Salaam na mwenye kuyajua fika mazingira ya mji huu.
Jukumu lake ni kumpekeka mtu kazini na kumrudisha,lakini pia kutimiza majukumu yake kadri anatavyoagizwa ndani wiki nzima.
SIFA ZA DEREVA;
~Awe mwaminifu na mkweli na aipende kazi/ofisi yake
~Awe na leseni inayotumika na inayokubalika kwa mujibu wa sheria za nchi.
~Awe na uzoefu wa kutosha wa muda mrefu barabarani.
~Asiwe mtumiaji wa kilevi chochote wakati wa kazi.
~Asiwe mbabaishaji na mjanjamjanja/ujuaji usio na maana
~Mwajiri anaishi Chanika,hivyo ni vema dereva nae akawa mkazi wa hapo au hata eneo jirani ili kuwahi ratiba yake ya kazi bila kuchelewa.
NB: ~Ratiba ya kazi inaanza aksubuhi sana na kumalizika usiku.
NJOO PM NA CV YAKO.
Mshahara: 350.000/-400.000/
Karibuni.
nipigie tuongee mkuuBado ila naprefer dereva awe jirani na mwajiri wake ili iwe rahisi kwake kutimiza majukumu yake ,itakuwa poa akaishi Chanika au eneo jirani.
Habarini,
Dereva anatafutwa,awe mkazi wa Dar es Salaam na mwenye kuyajua fika mazingira ya mji huu.
Jukumu lake ni kumpekeka mtu kazini na kumrudisha,lakini pia kutimiza majukumu yake kadri anatavyoagizwa ndani wiki nzima.
SIFA ZA DEREVA;
~Awe mwaminifu na mkweli na aipende kazi/ofisi yake
~Awe na leseni inayotumika na inayokubalika kwa mujibu wa sheria za nchi.
~Awe na uzoefu wa kutosha wa muda mrefu barabarani.
~Asiwe mtumiaji wa kilevi chochote wakati wa kazi.
~Asiwe mbabaishaji na mjanjamjanja/ujuaji usio na maana
~Mwajiri anaishi Chanika,hivyo ni vema dereva nae akawa mkazi wa hapo au hata eneo jirani ili kuwahi ratiba yake ya kazi bila kuchelewa.
NB: ~Ratiba ya kazi inaanza aksubuhi sana na kumalizika usiku.
NJOO PM NA CV YAKO.
Mshahara: 350.000/-400.000/
Karibuni.
0716887938 nipo pugu kajiungeni Nina lessen class E
0756222744. Napatikana chanika zingiziwa.
0782790710 nipo buyuni
nipigie tuongee mkuu
mkuu naomba nichk kipitia mamba 0784270389kama bado hujampata
Nafundisha kumfuata mtu pm gharama ni shilingi elfu mbili.Npo temeke ila nina uhakika wa kuwah nina uzoefu wa kutosha pia nmeptia VETA na leseni yngu A A2 B D E
Mkuu nimekutumia document plz wasiliana nami nipo vingunguti umbali au ukaribu nashauri isiwe ndio haswa kigezo cha kumpata lakini pia chukua hata wanne Waite kwa mahojiano apatikane atakae kidhi .asanteHabarini,
Dereva anatafutwa,awe mkazi wa Dar es Salaam na mwenye kuyajua fika mazingira ya mji huu.
Jukumu lake ni kumpekeka mtu kazini na kumrudisha,lakini pia kutimiza majukumu yake kadri anatavyoagizwa ndani wiki nzima.
SIFA ZA DEREVA;
~Awe mwaminifu na mkweli na aipende kazi/ofisi yake
~Awe na leseni inayotumika na inayokubalika kwa mujibu wa sheria za nchi.
~Awe na uzoefu wa kutosha wa muda mrefu barabarani.
~Asiwe mtumiaji wa kilevi chochote wakati wa kazi.
~Asiwe mbabaishaji na mjanjamjanja/ujuaji usio na maana
~Mwajiri anaishi Chanika,hivyo ni vema dereva nae akawa mkazi wa hapo au hata eneo jirani ili kuwahi ratiba yake ya kazi bila kuchelewa.
NB: ~Ratiba ya kazi inaanza aksubuhi sana na kumalizika usiku.
NJOO PM NA CV YAKO.
Mshahara: 350.000/-400.000/
Karibuni.
Kaka naomba unipigie please Nina shida na hiyo kazi..Nina uzoefu wa miaka mitatu kwenye kazi hiyo 0758659261 asanteHabarini,
Dereva anatafutwa,awe mkazi wa Dar es Salaam na mwenye kuyajua fika mazingira ya mji huu.
Jukumu lake ni kumpekeka mtu kazini na kumrudisha,lakini pia kutimiza majukumu yake kadri anatavyoagizwa ndani wiki nzima.
SIFA ZA DEREVA;
~Awe mwaminifu na mkweli na aipende kazi/ofisi yake
~Awe na leseni inayotumika na inayokubalika kwa mujibu wa sheria za nchi.
~Awe na uzoefu wa kutosha wa muda mrefu barabarani.
~Asiwe mtumiaji wa kilevi chochote wakati wa kazi.
~Asiwe mbabaishaji na mjanjamjanja/ujuaji usio na maana
~Mwajiri anaishi Chanika,hivyo ni vema dereva nae akawa mkazi wa hapo au hata eneo jirani ili kuwahi ratiba yake ya kazi bila kuchelewa.
NB: ~Ratiba ya kazi inaanza aksubuhi sana na kumalizika usiku.
NJOO PM NA CV YAKO.
Mshahara: 350.000/-400.000/
Karibuni.
Kaka naomba unipigie please Nina shida na hiyo kazi..Nina uzoefu wa miaka mitatu kwenye kazi hiyo 0758659261 asante