Dereva anaharibu mahusiano yangu

Tatizo sigala

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
45
Reaction score
5
Wadau mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, nina girlfriend wang anaitwa janet ambaye ni nesi nampenda sana ila kuna dereva wa bac anatembea nae na kumpa kila kitu, chakula malazi na mavaz, ila kila nkimuuliza anasema cyo kwel yeye ananipenda mimi tena kwa dhat kabisa, wakat jion bac linavoenda madibila anampikia chakula na kumpelekea stend mafinga, wadau nifanyaje kwan naumia sana kwa kuwa nampenda sana janet.
 

....hahaaa unaambiwa unapendwa kwa maneno, ila mwenzako anafanyiwa vitendo, kwa vle ww ni mwanaume usiye na maamuz baki hivyo hivyo, janet hivi sasa nimemuona analiwa denda pale mambo ya tanga.
 
....hahaaa unaambiwa unapendwa kwa maneno, ila mwenzako anafanyiwa vitendo, kwa vle ww ni mwanaume usiye na maamuz baki hivyo hivyo, janet hivi sasa nimemuona analiwa denda pale mambo ya tanga.

inauma sana bro! Nifanye nin?
 

acha ubwege..huna hela huwezi kumiliki demu
 

Mpenzi huwa hana haki miliki, ukitaka oa.
 
kaka mteme huyo dem fasta....unajua fasta yaan mkimbie atakuua soon.
 
Ha ha ha......kijana tafuta pesa kwanza......
 
Mapenzi ni mchezo ambao ajuaye sheria yake ndiye awezaye kuucheza....
Kitu cha ajabu ni kwamba sheria hizi hutofautiana kwa kila mahusiano...
Hivyo ndugu yangu Mnyalukolo/Mbena au Mkinga huyo msichana ni "mdesi" anakudanganya tu....
Angalia atakupotezea muda kwa kuwa anaonekana hajui anataka nini...
 
na wewe tafuta mama ntilie awe anakuletea msosi,akikuuliza kataa mwambie unampenda yeye tu
 

ngweliwe myawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…