Dereva Alipona Hapa!!

Hayo ya kisarufi ndio mabaya sana, si unaona mtu kainama afu mikono kashika sterling ya baskeli?

Hahahah....kwa nini kupigana na hajaandika ubaya wowote!! ingawaje kuna makosa kidogo ya kisafuri
 
应该是...!!

如果它是一辆丰田她还没有出来还活着!
 
如果它是一辆丰田她还没有出来还活着!

读万卷书不如行万里路
 
Naona kuna matumizi makubwa ya mihadarati kwenye hii sredi.
 
Basi mie ambaye huwa naangalia comments tu nakubaki nacheka mwenyewe leo mmnipa kazi na hicho kichina. Ila nimeambuliapo lol
 
如果它是一辆丰田她还没有出来还活着!

Ha ha ha....丰田车真不行!!
 
便宜的东西总是花费更多!

我觉得美国车或者欧洲车比日本车非常耐用...!! bahati mbaya magari yao hao jamaa ni gharama...
 
Naona kuna matumizi makubwa ya mihadarati kwenye hii sredi.


我看你盯着为什么很多人用中国的今天!这些东西谷歌翻译
 
Naona kuna matumizi makubwa ya mihadarati kwenye hii sredi.

Ha ha ha...nilivyosoma maneno yako...kwa haraka nikaangalia na avatar yako...nikabaki kucheka tu!!
 
我觉得美国车或者欧洲车比日本车非常耐用...!! bahati mbaya magari yao hao jamaa ni gharama...
德国车是众所周知的耐用,更安全 Mkuu!
 
德国车是众所周知的耐用,更安全 Mkuu!

还有法国的标致(Peugeot)...好好照顾自己把!!!
 
Keyboard yangu haina herufi za kichina ila nilitaka tu kuandika hivi chonhyang' jakat'thgny'kadush kulishing'hyang' chu _yaani kwa kiswahili ni kama nimesema (Hapo hata nikipona nitajiua tena kwa uoga wa tukio ...lol. )
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…