Na Mimi pia nipo kwenye list na hio depression inajengwa na wanaotuzunguka, mfano mtu unamdai alafu anakuzungusha alafu ukicheck usawa wako upo vibaya unafikiri what's next ? Yaan mtu ana Pesa yako alafu wewe upo vibaya yeye hela ameikalia tu hataki kukupa lazima upate depressionAfya ya akili ni muhimu sana, wahanga wa depression kwa sasa ni sisi Vijana๐๐ฉ
Mimi nimejisemea tu kwa kweli.Kwahiyo kila mwenye kupitia wakati mgumu ni anawaza tu mapenzi ๐ณ?
N mrembo?Shida nini mrembo?
Nini wewe nyinyi wa 20-30 deepond kasema mnaongoza kwa depression ๐Haya sasa hayo majina mnayoitana soon mtu analiwa na kuchunwa
Siku ukiambiwa JIAJIRI ndio utajua how ?
๐ฏ๐คusiweke watu moyoni
Ndio ni mrembo ulikua haujui kwani ?N mrembo?
We wakiume kaza kiume kama simbaUnakosea mkuu uliza shida nini shida dunian tuna changamoto nyingi sana sema watu hatujsfunguka mtu ukisema una mawazo unaambiwa kisa mapenzi make investigion in deep
Rajabu Zomboko ITV Hawavumi Lakini WamoKula chuma hicho
Hili swala haliitaji kupambanania ..mkuu๐ค๐ค๐คUshafika? ๐
Sikuwa nalijua hilo mkuuNdio ni mrembo ulikua haujui kwani ?
๐๐๐ฏ๐ฏWe wakiume kaza kiume kama simba
Pole mkuu kwa changamotounamdai alafu anakuzungusha alafu ukicheck usawa wako upo vibaya unafikiri what's next ? Yaan mtu ana Pesa yako alafu wewe upo vibaya yeye hela ameikalia tu hataki kukupa lazima upate depression
Daaah! Watu wanacheza na fursa mwanawane ๐๐Hili swala haliitaji kupambanania ..mkuu๐ค๐ค๐ค
Yaan fanya 20-45......hata aliye oa na kuolewa bado akili haijatulia eti bado anatafuta wa kufanana naye๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNa humu jf wamo wengi,
Sio wakike,sio wakiume
Hasa rika la 20-30
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hata sie wa 40+ mkuu, kuna midlife crisis umri unaenda na huna unalotimiza, watoto wanakuwa, shule, ujenzi, unaona kabisa umri unakutupa mkono...Na humu jf wamo wengi,
Sio wakike,sio wakiume
Hasa rika la 20-30
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Basi ngaja niendelee na mishe zangu aisee. Mpeni ushauri peke yenu ๐ ๐ ๐Ushafika? ๐