Nakemea pepo la deppression. Ha ha ha.
Feelings are transient. Deppression ni wingu tu linapita.
Unatakiwa kuwa katika state of nirvana,in which you have no gross feelings.
Poleee dada yangu usiwaze sana control your mind life is short stop worrying now kuwa karibu na mtu usiogope dada yangu piga zoezi kunywa maji mengi yatapita dada yangu