Shida ni hii mtu unaona umempatia mtu kumbe anakulia timing anakutumia anakupa hela unaagiza mizigo anakuja kwa mtindo wa wizi anakuibia kila kitu halafu anakuita anakupa pole na anasepa au anakupa kapesa kadogo unaanza kila siku upya
Pole sana
Dunia hii ina mambo mengi sana usiwaze kuhusu mitihani unayopata anza kuhesabu barakazako utaona ni Kwa kiasigani wewe ni WA thamani na hakuna gumu ambalo hautalishinda Polesana Lovelovie
Mimi nikiwa na stress huwa natembelea hospital nikitoka hapo natoka na nguvu mpya kabisa maana nakutana na mtu ana umwa wa leo na kesho ila ana tabasamu najikuta ni mjinga narudi kupambana tena.