Deodorants and their effects

amigooo

Senior Member
Jun 30, 2012
115
18
ALUMINIUM SALTS

Ni madini yanayoongezwa katika deodorant za kawaida 95%. Check on yours on
ingredients on your deodorant. Kazi yake ni kuziba matundu ya jasho hivyo
husababisha jasho na sumu yenyewe ya aluminium salt na uchafu mwingine
kujirundika katika titi. Tafiti zimeonyesha kwamba si wanawake tuu,sasa mpaka
wanaume wanakuwa affected kwa kuwa mwili haukuweza kutoa ile sumu nje ya mwili
na kuonekana kama ilivyo hapo katika picha.

Na hivyo baadae kusababisha cancer kama inavyoonekana hapo juu. Hivyo kupelekea watu kuwa affected.

DON'T PANIC!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ! WE HAVE
ALTERNATIVE

Aloe Ever-Shield®

Deodorant isiyo na aluminium salt. Ina vitu viwili tu
1.Alovera gel
2.Bee propolis- utando wa nyuki wadogo. Powerful asilia kwa mwili wa binadamu haijawahi kutokea toka dunia inakuwepo
Its pure and natural "NO CHEMICALS". Imewekewa bidhaa za asili tu.

MATUMIZI:
1.Inaondoa harufu mbaya yoyote ya mwili
2.Inaondoa fungus yoyote na harufu mbaya ya miguu
3.Weusi wa kwenye kwapa na haizibi vitundu vya jasho
4.Uwezo wote huo sababu ya two powerful natural antibiotic Alovera gel & Bee propolis
5. Inaweza kutumika more than 3 months per person.

INTERESTED? PROTECT YOURSELF FROM CANCER. CHECK WITH ME TO OWN YOURS. KWA NINI USUBIRI HADI OPERATION INAYOKUWA NA GHARAMA ZAIDI YA MIL 3 WAKATI IPO BIDHAA ISIYOZIDI 15,000/=, AND DURABLE. INVEST ON YOUR HEALTH.

Thanks & Regards
Bernard
0713889162

healthwealthfirst@gmail.com
 
Attachments

  • 27.jpg
    27.jpg
    7.7 KB · Views: 95
  • 28.jpg
    28.jpg
    9.6 KB · Views: 88
  • 29.jpg
    29.jpg
    6 KB · Views: 81
  • 30.jpg
    30.jpg
    2.4 KB · Views: 468
Copy n pest? Najivunia kuwa creative mpaka unacopy my thread n paste kumbe mm ni kichwa. Gud work. Hahaha!
Regards
Joseph
0713297066
 
Kama mtu anaweza kuona kitu fulani kizuri akakipenda hakuna shida kukisifia. Kama mtu alicopy thread yako unastahili kujisifia kuwa creative na yeye anastahili kukusifu kuwa una uelewa pia mzuri. Lengo ni kuwapa watu uelewa na wawe na afya njema.
 
it's true. try to be creative don't copie n paste.and change contact info!!!!!!!!!!!!
ndo mana wafrica hatuendelei tunasubiri mtu aanza yy aige.
 
Knowledge haina cha kusema creative. Ingekuwa ni biashara ndiyo ingekuwa na cha kusema creativity. This is just a tranfer of knowledge so that people can get it. No business issues required. Let us duplicate it to the number of people so that most of them can be in a safe side. To change something like numbers no problem bse someone can need to ask a question for more clarification.
 
Wanajamii someni hiyo post muielewe vizuri kama kuna mtu yeyote anayehitaji msaada/ushauri anitafute kwa email address: healthwealthfirst@gmail.com Comments zingine hazina maana kuzifuata sababu hazina maana na kawaida jamii yoyote lazima ihusishe watu wa aina tofauti.
 
Copy n pest? Najivunia kuwa creative mpaka unacopy my thread n paste kumbe mm ni kichwa. Gud work. Hahaha!
Regards
Joseph
0713297066

Nyie Wote si wanachama wa kampuni moja? Nanihuyu aliyeteleza kwenye tiles? nani huyo anaeteleza juu ya ganda la ndizi?
 
Wanajamii someni hiyo post muielewe vizuri kama kuna mtu yeyote anayehitaji msaada/ushauri anitafute kwa email address: healthwealthfirst@gmail.com Comments zingine hazina maana kuzifuata sababu hazina maana na kawaida jamii yoyote lazima ihusishe watu wa aina tofauti.
 
it's true. try to be creative don't copie n paste.and change contact info!!!!!!!!!!!!
ndo mana wafrica hatuendelei tunasubiri mtu aanza yy aige.

Mwalimu Nyerere katika moja za hotuba zake alisema,..."iigeni yale mazuri yaliofanya katika utawala wangu na kama yapo Mabaya yacheni..., lakini nyinyi Viongozi wa leo Mnaiga yale yalio Mabaya"....., Hii inaonyesha na kufundisha katika Maisha kuiga jambo nzuri si vibaya.., Mbaya kuiga Mabaya.., Kwani hakuna jambo lolote utakalofanya duniani kwamba ni Jipya.
 
Nashukuru kwa kuiga mymind. Na imeniakikishia kuwa kiliko toka kichwan ni bora. Ndo mana wanaduplicate. Inaamana pia nikiacha post humu. Pia kuna watu watakufa njaa coz sijapost.achenii uvivu wa kufikiria.
Nashukuru kwa maoni.
 
Hakuna shida sote tukipata elimu na sijaona nini tatizo. Mimi pia nitawajulisha na wengine kuhusu jambo zuri
 
ALUMINIUM SALTS

Ni madini yanayoongezwa katika deodorant za kawaida 95%. Check on yours on
ingredients on your deodorant. Kazi yake ni kuziba matundu ya jasho hivyo
husababisha jasho na sumu yenyewe ya aluminium salt na uchafu mwingine
kujirundika katika titi. Tafiti zimeonyesha kwamba si wanawake tuu,sasa mpaka
wanaume wanakuwa affected kwa kuwa mwili haukuweza kutoa ile sumu nje ya mwili
na kuonekana kama ilivyo hapo katika picha.

Na hivyo baadae kusababisha cancer kama inavyoonekana hapo juu. Hivyo kupelekea watu kuwa affected.

DON'T PANIC!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ! WE HAVE
ALTERNATIVE

Aloe Ever-Shield®

Deodorant isiyo na aluminium salt. Ina vitu viwili tu
1.Alovera gel
2.Bee propolis- utando wa nyuki wadogo. Powerful asilia kwa mwili wa binadamu haijawahi kutokea toka dunia inakuwepo
Its pure and natural "NO CHEMICALS". Imewekewa bidhaa za asili tu.

MATUMIZI:
1.Inaondoa harufu mbaya yoyote ya mwili
2.Inaondoa fungus yoyote na harufu mbaya ya miguu
3.Weusi wa kwenye kwapa na haizibi vitundu vya jasho
4.Uwezo wote huo sababu ya two powerful natural antibiotic Alovera gel & Bee propolis
5. Inaweza kutumika more than 3 months per person.

INTERESTED? PROTECT YOURSELF FROM CANCER. CHECK WITH ME TO OWN YOURS. KWA NINI USUBIRI HADI OPERATION INAYOKUWA NA GHARAMA ZAIDI YA MIL 3 WAKATI IPO BIDHAA ISIYOZIDI 15,000/=, AND DURABLE. INVEST ON YOUR HEALTH.

Thanks & Regards
Bernard
0713889162

healthwealthfirst@gmail.com

a u wõrk in forever livng
 
Back
Top Bottom