Mwenyekiti Tume ya Uchunguzi Uvamizi Clouds TV, ndugu Deodatus Balile atishiwa Maisha

Makonda ni dume la shoka, wamemshindwa sasa wanatafuta kiki . Wenye akili tumeshajua hapa hakuna cha uhuru wa habari wala vyeti hapa ni vita ya kimaslahi na makonda kawanyoosha.

Tunajua yaliyo nyuma siku moja tutasema. Ruge Ridhiwan Ba_hite Nape Mengi GSM wauza unga ikulu dot zitaungana tu siku moja.
anayejua kesho ni Mungu!
 
Acha kuweweseka bwana mdogo.
Hukutishiwa maisha ulipofichua uozo wa kontena 3,000 bandarini watu wakalipa mabilioni na wengi wamepoteza kazi uje kutishwa sasa hivi?
Dhambi ya undumilakuwili na fitna inakutafuna hakuna anaekutafuta acha kujitisha.
Mwisho utajiteka ili uzidi kuonewa huruma.Fanya kazi zako hakuna mwenye shida na wewe
Sodoma ilianza hivihivi
 
Evarist Chahali naye nimesoma mitandaoni kwamba katishiwa pia
Huyu mjinga na yule gabacholi binti wa sarungi wanapenda sana kiki na drama za kitoto watu wamewapuuza sasa kila siku wanaleta drama.

Anaetekwa aambiwi wajinga nyie kwanza mna nini nchi hii mpaka mtekwe hii nchi sio app ya twitter hii nchi ni zaidi ya likes na retweets.
 
Punguza jazba!
 
Makonda ni dume la shoka, wamemshindwa sasa wanatafuta kiki . Wenye akili tumeshajua hapa hakuna cha uhuru wa habari wala vyeti hapa ni vita ya kimaslahi na makonda kawanyoosha.

Tunajua yaliyo nyuma siku moja tutasema. Ruge Ridhiwan Ba_hite Nape Mengi GSM wauza unga ikulu dot zitaungana tu siku moja.
Dume la nini?Alishakupanda nn
 
dume sifa zake ni zipi...mbona mnazd kumutonesha mkuu...yaan na hela unachukua kwel unashindwa kuchagua maneno matamu ya kuandika? rudisha buku 7zetu haraka. au ww nu jike ututhibitidhie uliyemtaja kwel ni dume la mbegu? be siriaz bas
 
Makonda ni dume la shoka, wamemshindwa sasa wanatafuta kiki . Wenye akili tumeshajua hapa hakuna cha uhuru wa habari wala vyeti hapa ni vita ya kimaslahi na makonda kawanyoosha.

Tunajua yaliyo nyuma siku moja tutasema. Ruge Ridhiwan Ba_hite Nape Mengi GSM wauza unga ikulu dot zitaungana tu siku moja.
Wewe ni Jerry Muro?
 
Mkuu;
kama ushaambiwa jiandae basi sali sala zoote uwe tiyari. Kule hatuendi kwa miguu hii ya nyama. Usiogope kifo mwanamume kwani wajua kilicho mbele yako?? Waweza gongwa na treni au basi la mwendo kasi ukaambiwa weye ulijitupa kwenye basi. Usiogope wala kuwasikiliza wanaokubeza. Ni hawa hawa walisema naniii kajiteka, mara Mbowe anajua alipo, mara Roma kajiteka kumbe wapi, ni njia ya kutufanya tusahau uingie 18 zao tu.
 
Back
Top Bottom