Mwenyekiti Tume ya Uchunguzi Uvamizi Clouds TV, ndugu Deodatus Balile atishiwa Maisha

Makonda ni dume la shoka, wamemshindwa sasa wanatafuta kiki . Wenye akili tumeshajua hapa hakuna cha uhuru wa habari wala vyeti hapa ni vita ya kimaslahi na makonda kawanyoosha.

Tunajua yaliyo nyuma siku moja tutasema. Ruge Ridhiwan Ba_hite Nape Mengi GSM wauza unga ikulu dot zitaungana tu siku moja.
Kawanyoosha kwa kubaki madarakani na vyeti feki. Wafuatiliaji wa unga tunawajua, kamishna Sianga.
 
Makonda ni dume la shoka, wamemshindwa sasa wanatafuta kiki . Wenye akili tumeshajua hapa hakuna cha uhuru wa habari wala vyeti hapa ni vita ya kimaslahi na makonda kawanyoosha.

Tunajua yaliyo nyuma siku moja tutasema. Ruge Ridhiwan Ba_hite Nape Mengi GSM wauza unga ikulu dot zitaungana tu siku moja.
Anvekuwa dume angetoa vyeti halali. Makonda ni bwege tu Bashite.
 
Watashindana lakini hawatashinda.

Balile alifanya kazi nzuri iliyotukuka. Mungu amlinde popote alipo
 
Huyu mjinga na yule gabacholi binti wa sarungi wanapenda sana kiki na drama za kitoto watu wamewapuuza sasa kila siku wanaleta drama.

Anaetekwa aambiwi wajinga nyie kwanza mna nini nchi hii mpaka mtekwe hii nchi sio app ya twitter hii nchi ni zaidi ya likes na retweets.
Kama hakuna kutekwa Ben saanane yuko wapi?
 
Hapa ndio napoteza imani ya viongozi wa dini mbona hawakemei haya mambo ya kutekana wanabaki kuwaombea walio hai kwa maslahi yao. Hii zaidi ya hatari kwa taifa letu
 
Huyu mjinga na yule gabacholi binti wa sarungi wanapenda sana kiki na drama za kitoto watu wamewapuuza sasa kila siku wanaleta drama.

Anaetekwa aambiwi wajinga nyie kwanza mna nini nchi hii mpaka mtekwe hii nchi sio app ya twitter hii nchi ni zaidi ya likes na retweets.
Natafakari huu ujimbe wako nashindwa amini maana umeandika kana kwamba huna hofu ya Mungu. Sote tunapita tu. Kwa sisi watanzania wa kawaida tunashindwa amini ujasiri wa kujua anayetekwa haambiwi. Nadhani imefika mda tuudhulie kwenye ibada/sala ili kuwa na hofu juu ya hukumu zetu siku ya mwisho
 
Alianza kusema Ban Saa nane kwamba anawindwa mkasema Kiki. Kumbe wauaji ni wale wanajitabasamisha wanapoulizwa mambo ya maana. Balile antaka kiki toka kwa nani?

Mbinu wanayotumia ni ileile ya ku-create false positives.
Ili wakifanya yao mkose pretext.
Aliyetishwa asichukulie simple. Atafute Asylum ASAP.
Hii nchi tushaigeuza Rwanda kwa kuchagua vichaa watuongoze
 
Baba yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe, ufalme wako ufike, utakalo lifanyike duniani kama mbinguni, utupe leo mkate wetu wa kila siku, utusamehe makosa yetu, kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea, usitutie katika kishawishi, lakini utuopoe mauvuni... kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu hata milele. Amina.

Juzi mawasiliano ya ofisini kwetu yalidukuliwa. Makala inayopaswa kusomwa kesho, waliojiteua kuwa wasaidizi wa aliyetaka nimwombe radhi kwa kufanya kazi niliyotumwa mchana kweupe, wametamba kuwa wanafuatilia maisha yangu hadi uvunguni mwa kitanda changu.

Nimeona nisali kwa sauti sala hii, ili nikipotea, hawa wasaidie kutoa majibu nilipo. Nimeambatanisha baadhi ya meseji zao za udukuzi kwangu.

Balile

17522750_1154936754652098_6408747352627961508_n.jpg
Hata ukifa poa tu huna faida...mchochezi mkubwa wewe
 
Back
Top Bottom