GE2025 Deo Sanga: Polepole amechanganyikiwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mwenyekiti wa CCM mkoani Njombe, Deo Sanga amesema Humphrey Polepole amechanganyikiwa kutokana na utendaji mzuri wa Rais Samia Suluhu ambao hakuutegemea.

Akiongea leo Septemba 05, 2025, mjini Njombe, katika kampeni za mgombea wa Urais wa CCM, aliyekuwa Mbunge wa Makambako, Deo Sanga, amemkosoa vikali kada wa CCM, Humphrey Polepole kwa ukosoaji anaoufanya kwa CCM, na mgombea wa Urais, Samia Suluhu Hassan.

"Hata watu Mheshimiwa Mwenyekiti wanaokutukana wewe ni kuchanganyikiwa, akiwepo huyo Polepole amechanganyikiwa Mheshimiwa Mwenyekiti. Ulipomteua kuwa Mbunge,yeye ni miongoni waliyokuwa anasema huyu mama miradi hii mikubwa hataimaliza.Amekuta miradi yote kwisha umemaliza na unaendelea nayo vizuri na kwa sababu alikuwa na mipango mingine sasa amechanganyikiwa."
 
Yeye ndo kachanganyikiwa
 
Jamaa kambinya ili asiendelee na hiyo hoja ki protoco hoja za polepole sio za kujibiwa kienyeji hivyo kwenye majukwaa jikite kwenye uchaguzi polepole anakuja vipi kwenye jukwaa kubwa hivyo mbele ya mwenyekiti wa chama unaleta ishu za polepole nadhani lazima amewekwa kitimoto huyu na sidhani kama atalopoka tena
 
Sahihi. Sanga anamwaga ugali WA mama . Ata wasiomjua pole pole wataanza kumfuatilia 2029 October tunatiki
 
Deo kujichanganya sana! Mzee wangu Polepole atatufanyia uchambuzi kumhusu Deo na tutajua nani amechanganyikiwa.
 
Mwenyekiti wa CCM mkoani Njombe, Deo Sanga amesema Humphrey Polepole amechanganyikiwa kutokana na utendaji mzuri wa Rais Samia Suluhu ambao hakuutegemea.

Akiongea leo Septemba 05, 2025, mjini Njombe, katika kampeni za mgombea wa Urais wa CCM, aliyekuwa Mbunge wa Makambako, Deo Sanga, amemkosoa vikali kada wa CCM, Humphrey Polepole kwa ukosoaji anaoufanya kwa CCM, na mgombea wa Urais, Samia Suluhu Hassan.

"Hata watu Mheshimiwa Mwenyekiti wanaokutukana wewe ni kuchanganyikiwa, akiwepo huyo Polepole amechanganyikiwa Mheshimiwa Mwenyekiti. Ulipomteua kuwa Mbunge,yeye ni miongoni waliyokuwa anasema huyu mama miradi hii mikubwa hataimaliza.Amekuta miradi yote kwisha umemaliza na unaendelea nayo vizuri na kwa sababu alikuwa na mipango mingine sasa amechanganyikiwa."
Kwa sababu amewaambia ukweli. Yule ambaye hawaambii ukweli hajachanganyikiwa.......na yule anayeteka watu...huyo ABDUL SULUHU HASSAN hajachanganyikiwa? Au unamaanisha nini wewe chawa wa mama?
 
Back
Top Bottom