GE2025 Deo Sanga: CCM inakubalika kutokana na mambo yaliyofanyika makubwa

GE2025 Deo Sanga: CCM inakubalika kutokana na mambo yaliyofanyika makubwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
"CCM inakubalika kutokana na mambo yaliyofanyika makubwa. Huko ukienda kwenye majimbo, kazi zilizofanywa na Dkt. Samia ni kubwa haijawahi kutokea, haijawahi kutokea! Ukienda kwenye afya, ukienda kwenye maji...kwenye afya zipo zahanati na hospitali zingine zinakosa wagonjwa",- Sanga.

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Makambako mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) akizungumza na wanahabari mkoani Dar es Salaam siku ya Jumamosi

 
Back
Top Bottom