mkuu lakini hata hao mamods nafsi zao zitawasuta maana haya madai ya chadema na uchaga yamekuwa kila siku kwenye media na huku mitaani.Huu Uzi hautakuwa na muda hapa utafutwa
Hakuna ujinga wala upumbavu katika kuhoji kwa lengo la kutaka kujua.
Nyerere katika hotuba yake (famous speach) aliyoitoa dodoma mwaka 1995 alisema ni ujinga na upumbavu kwa watanzania kuulizana makabila huyu mchaga ,huyu ------ so what? taja mapungufu yake ya kiutendani au elimu na vitu kama hivyo. Hatuchagui mtu kwa sababu ya kabila lake, na wala hatuchagui ili tu makabila yote yawe viongozi . hatuangalii ukabila watz katika kupata viongozi bali uwezo.kama wana maungufu wajadili mapungufu yao sio makabila wala dini wala rangi zao.msituletee ushetani kuliuwa taifa.
Mkuu jibu hoja kwanza wosia baadae!

jamaani naangalia ukurasa-EATV nimeona viongozi wa bavicha Dar wakilalamikia waendesha pikipiki kuingia katikati ya jiji. lakini naombeni mnisaidie kunitoa tongotongo jamani. hivi hakuna makabila mengine zaidi ya wachaga wanaoweza kuongoza huko chadema? nimeshangaa jiji la Dar lililojaa makabila mbalimbali lakini nafasi zote muhimu zinaongozwa na wachaga tu kuanzia mwenyekiti wa mkoa henry kileo kumbe mpaka bavicha mwenyekiti na katibu ni mnishi na malya.
msaada tafadhali, kulikoni wachaga na chadema?