GE2025 Deo Munishi awasilisha ujumbe wa CHADEMA Ujerumani

GE2025 Deo Munishi awasilisha ujumbe wa CHADEMA Ujerumani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,743
Reaction score
2,601
IMG-20250911-WA0094.jpg

IMG-20250911-WA0093.jpg

IMG-20250911-WA0092.jpg

Leo tarehe 11 Sept, 2025, Katibu wa Mahusiano ya Kimataifa Chadema Deo Munishi amehitimisha ziara maalumu nchini Ujerumani kwa kukutana na wabunge pamoja na maafisa waandamizi wa serikali ya taifa hilo kwa shabaha ya kuwasilisha ujumbe maalumu wa chama juu ya anguko la demokrasia na ukandamizwaji wa haki za binadamu Tanzania.
 
Safi sana,kimataifa lazima uchafu wa hawa watawala ujulikane
 
Back
Top Bottom