Kijeba Kijeba
Senior Member
- Mar 7, 2024
- 153
- 212
Miaka ya karibuni ni ukweli usiopingika JamiiForums ilianza kupoteza mvuto kwa watu kama sisi ambao tunapenda intellectual discussion tulikuwa tuna-miss sana hii mijadala
Kuna wakati mijadala hii ya muhimu tulikuwa tunaifuata twitter huku ilikosekana mbaya zaidi unakutana na yakina machawa palikuwa panaboa sana kwa watu ambao tunapenda kudiscuss mambo ya msingi
Ila Dennis Robert Shughuru ameirudisha JamiiForums ya zaman naamini kwenye nyuzi zake kuna mpaka viongozi wa serikali wanazifuata
Nampongeza kwenye nyuzi zake haziharibu nikimaanisha hata mtu amtukane, au kumdhihaki kwa lengo la kumtoa kwenye reli yeye anapuuzia hii inafanya uzi usiharibike ni tofauti na nyuzi nyingine mleta uzi ghafla anaanza kuporomosha matusi na dhihaka mwisho wa siku anaharibu uzi
Nikiingia JamiiForums straight kwenye nyuzi zake napata madini na napenda anavyofikiri tofauti