Huyu jamaa naona ndie mchambuzi bora kuliko wote wa mpira TZ
anaujua mpira
hana sifa na mbwembwe za kijinga
nimesikia pia ni kocha sijui anafundisha wapi na ana historia ipi
ya mpira but so far hakuna anaeweza kubisha uwezo wake wa kuchambua mpira
Anafundisha wapi?
Mchambuzi wa media hip jaman mbona mm simjui na mm nimiongon mwa wadau wa michezo
Huyu jamaa naona ndie mchambuzi bora kuliko wote wa mpira TZ
anaujua mpira
hana sifa na mbwembwe za kijinga
nimesikia pia ni kocha sijui anafundisha wapi na ana historia ipi
ya mpira but so far hakuna anaeweza kubisha uwezo wake wa kuchambua mpira
Kabisa mkuu...! Huyu jamaa yupo deep sana..taaluma yake ya ukocha inambeba
Tatizo ni Simba damu.
Tatizo ni Simba damu. Ndiye aliye ipaisha Ndanda F.C Ligi kuu.
we naye unafurahisha unadhani mpira wa kuchambua umekaa studio ndio wa uwanjani, alikuwa kocha wa Timu ya Ndanda, ikawa ktk hali mbaya wakamtimua, na alikuwa anaamini sana nguvu za giza, siku wanakwenda kucheza na mtibw huko manungu, aliwatembeza wachezaji wake karibu km. 8, polini eti kukwepa misumali (ndumba) ya mtibwa, barabarani!! wakafika uwanjani too late hata muda wa kula hamna wakaingia uwanjani wakachezea 4!!!Usiwaone wachambuzi wa mpira wamo studio wanajifanya wanajua, hasa hawa wa clouds fm!! timu yao wenyewe ni shida, na ukitaka kujua uwezo wao, wasikilize pre match analysis zao, hata haiji kuendana hata kidogo na match, wao ni wa taalam wa baada ya mechi tu!! sasa hiyl hata mtu aliyetoka sigimbi leo atashindwa?? makosa yote yameshaonekana, Ukitaka kuona watu wenye fani zao angalia super sports, au skysports, sio hawa waganga njaa tu. We kila mtu amekuwa football analyst!!! bora hata mbwiga ye ame specialise kwenye ndondo, na anaweza.Huyu jamaa naona ndie mchambuzi bora kuliko wote wa mpira TZ
anaujua mpira
hana sifa na mbwembwe za kijinga
nimesikia pia ni kocha sijui anafundisha wapi na ana historia ipi
ya mpira but so far hakuna anaeweza kubisha uwezo wake wa kuchambua mpira
we naye unafurahisha unadhani mpira wa kuchambua umekaa studio ndio wa uwanjani, alikuwa kocha wa Timu ya Ndanda, ikawa ktk hali mbaya wakamtimua, na alikuwa anaamini sana nguvu za giza, siku wanakwenda kucheza na mtibw huko manungu, aliwatembeza wachezaji wake karibu km. 8, polini eti kukwepa misumali (ndumba) ya mtibwa, barabarani!! wakafika uwanjani too late hata muda wa kula hamna wakaingia uwanjani wakachezea 4!!!Usiwaone wachambuzi wa mpira wamo studio wanajifanya wanajua, hasa hawa wa clouds fm!! timu yao wenyewe ni shida, na ukitaka kujua uwezo wao, wasikilize pre match analysis zao, hata haiji kuendana hata kidogo na match, wao ni wa taalam wa baada ya mechi tu!! sasa hiyl hata mtu aliyetoka sigimbi leo atashindwa?? makosa yote yameshaonekana, Ukitaka kuona watu wenye fani zao angalia super sports, au skysports, sio hawa waganga njaa tu. We kila mtu amekuwa football analyst!!! bora hata mbwiga ye ame specialise kwenye ndondo, na anaweza.
Huyu jamaa naona ndie mchambuzi bora kuliko wote wa mpira TZ
anaujua mpira
hana sifa na mbwembwe za kijinga
nimesikia pia ni kocha sijui anafundisha wapi na ana historia ipi
ya mpira but so far hakuna anaeweza kubisha uwezo wake wa kuchambua mpira
Kikubwa ni mchambuzi mahiri maana kwa Tanzania ni kawaida kwa watu kuwa na ushabiki wa timu mojawapo japokuwa wengine hawajionyeshiTatizo ni Simba damu. Ndiye aliye ipaisha Ndanda F.C Ligi kuu.