DENI LINAPANDA TU.

DENI LINAPANDA TU.

MAFIA MGAX

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2023
Posts
430
Reaction score
552
Habari wana JF

Leo nipende kutoa uzi unaohusiana na maswala ya kifedha katika taifa hili la TANZANIA.

Ikumbukwe tangu aondoke mwendazake,deni la taifa lilikuta takribani trillion 8.2 tangu aachiwe kijiti na mkwere ambapo lilikuwa ni trillioni 35.

Ok tusirudi nyuma sana,ni vyema tuanzie hapa kwa huyu mmama ambapo hadi kufikia mwezi may mwaka huu 2025,deni limefikia trillion 17.7.mimi ninaweza kusema ikiwa aliweza kuchangia ongezeko hadi 100% ya deni lililokuwepo,maana yake ni kunaongezeko pia katika nafasi tofautitofauti ikiwemo huduma ya afya, usafirishaji, elimu, maendeleo ya waajiriwa n.k lakini mbona nyanja hizi zinaendelea kudidimia chini sana.

Ifahamike kwa sasa huduma haswa ya afya,mgonjwa anapoenda hospitali ya serikali gharama yake haikinzani sana na gharama ya private hospitals,je ni kwanini inakuwa hivyo.Hayo ni machache lakini sehemu zote ni vivyo hivyo.

Je hizo trillion zote ni zimeenda kwenye ujenzi wa daraja la BUSISI,au ujenzi wa mwendokasi pamoja na magari,na kama ni hivyo hizi kodi ambazo wananchi tunaongezeka ikiwemo pango,usafirishaji,TRA,gharama za bidhaa kupanda kihorela zinatokana na nini?.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom