Ni hatari sana nchi kukopa kwa ajili ya kuendesha serikali ndio sababu Ugiriki walifilisika haraka. Kama tunakopa tukope kwa ajili ya uzalishaji na miradi ya maendeleo na sio kuendesha serikali deni lolote la ndani na nje ni hatari kwa uhai wa nchi na vizazi vijavyo.
Mkuu I have read your article and it is good but it is oriented to the western point of view.
Nakubaliana kabisa kuwa huwezi kuendesha serikali kwa mapato ya mikopo, maana huo ni wenda wazimu.
Kuna scenarios ambazo hujazigusia kabisa na ni muhimu sana kuziainisha.
Introduction of the Euro common currency vis-a-vis capital flight, coupled with diminishing exports.
Hili ni tatizo ambalo si wachumi wengi wanapenda kuli explore, na hii ndio bottom line ya tatizo la Ugiriki.
Sisi hapa Tanzania tulianza kushabikia kwa nguvu uanzishwaji wa sarafu moja, kabla akili haijaingia kichwani.
Leo tunashukuru kuwa dynamics za currency flows ndio kwanza zinaanza kueleweka, na athari zake katika tija na uzalishaji mali kwa kushindana na masoko ya nje.
Tunashukuru kuwa serikali ya Tanzania imelishtukia hili na kulifikiria kwa muonekano mpya, kwa kutilia maanani mfano wa Ugiriki.
Mchina sio mjinga ku-ender value currency yake, hivyo exports zake ili ziwe competative katika soko la dunia.
Na hili linalindwa na serikali na si market forces.
Mkuu Mdondoaji naomba comments zako juu ya hili.