Zamazangu JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 952 Reaction score 616 Yesterday at 8:26 AM #1 Hii imetokana na tatizo letu la akili ndogo kutawala akili kubwa
GwaB JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 5,231 Reaction score 7,092 Yesterday at 8:39 AM #2 Taifa la wagagagigikoko hili, wenye akili kubwa wameamua kwa hiali yao kutawaliwa na wenye akili za kuungaunga kwa mtindo wa ujanja kupata na sio ujanja kuwahi. 😢
Taifa la wagagagigikoko hili, wenye akili kubwa wameamua kwa hiali yao kutawaliwa na wenye akili za kuungaunga kwa mtindo wa ujanja kupata na sio ujanja kuwahi. 😢