Deni la Taifa linaongezekaje Tanzania?

Maguge Maguge

JF-Expert Member
Sep 1, 2016
2,734
1,774
Serikali ya Tanzanzia inanunua ndege, inajenga SGR, barabara za juu, nk. ikijipambanua kukua kwa uchumi huku deni la Taifa linazidi kuwa kubwa zaidi ya Trillion 50.

Hii ina maana gani?

Screenshot_20191107-054953.jpeg
 
Hiyo miradi yenyewe sina hakika kama itakuja kumnufaisha mtanzania maana mzigo atakaotuachia ni mkubwa
Huyu mzee anawapeleka watanzania pabaya kikwete kipindi cha miaka 10 aliacha deni la la trillion 29.6 leo hii mtu kaingia miaka mitano tu tayari deni limefikia trillion 52
 
Ni minne sio mitano..
 
Ni miradi ipi inatumia fedha za ndani (kodi zetu) na miradi ipi inatumia mikopo?
Kwakuwa kila mdadi mkubwa utasikia "tunatumia fedha zetu wenyewe".Hilo deni linatoka wapi?
Viongozi wa awamu zilizotangulia wangeamua kukopa kwa kasi hiyo,tungekuwa na miradi mikubwa na mingi,lakini walikuwa na tahadhari.
Tujitathmini kwa speed hii ya kukopa.
 
Back
Top Bottom