Hizi ni conspiracies za kiuchumi zinazoongozwa na zile familia zinazo endesha dunia, kuna mambo mengi tunayaona lakini uhalisia wake ni kinyume kabisa na tunavyofikiria. Watu wasome, vitu vingi sana vmefichwa kwenye vitabu
Kukudokezea tu, wajua ya kwamba Central Banks zote(including Federal Reserve ya Marekani) za almost nchi zote ni mali ya hizo familia zinazo run dunia?
Kuna biashara kubwa tunazoaminishwa ni za watu kwa mfano Bill Gates na Microsoft sio zao?
Unajua kua kinachoitwa mabadiliko ya tabia nchi ni kitu kinachochezeshwa na kua controlled na watu kitechnolijia na kwamba ni biashara ya ma trillion?
Unajua magonjwa na dawa hutengenezwa ili iwe ni biashara? (Pharmaceutical Industry doesn't create cure it creates customers) hivo visukari vyenu siku hizi ni mpango maalum ili maisha yote uwe mteja wa dawa!
Dunia si salama tena na hayo madeni sio tu ya Marekani bali dunia mzima mengi ni fake! Na ukitaka ubaya na wakubwa hao basi pambana ili usidaiwe! Hawataki ukae bila kudaiwa(miongoni mwa sababu zilizimponza Gadafi na mpango wake wa kuunda bank la Afrika mfano wa IMF)