Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,506
- 108,884
the head of diplomatic mission in my brain ameelewa and hayuko tayari kuona nikifanya hilo.
Nijibu:hw will you go around beating you wife?
the head of diplomatic mission in my brain ameelewa and hayuko tayari kuona nikifanya hilo.
Nijibu:hw will you go around beating you wife?
Jamani nawasalimu wapendwa wote wa MMU.
Nimekaa na kujiuliza mbona thread kuhusu mimi zimekuwa nyingi mno???
Hii inanipa wasiwasi nawaombeni mni-PM kuliko kunianzishia thread kila kukicha wajameni tafadhali. Imekuwa kila siku mara namzimia DA, namposa DA, naanzisha mchango wa laptop kwa DA heee kwanini mimi kila siku bana.
I better stay away for a while angalau nipumzike this is too much bana kha!!!!.
Regards
DA
Wape wanachotaka......:biggrin1:
Hupendi kuanzishiwa thread hapo hapo unapenda kujianzishia thread...
Watu kwa kupenda umaarufu kaazi kweli kweli
Mh... Mchungaji, hii nini tena bana???:A S 109:the head of diplomatic mission in my brain ameelewa and hayuko tayari kuona nikifanya hilo.
Nijibu:hw will you go around beating you wife?
Asante sana hebu shangaa na wewe mimi nitaambiwa Mchungaji analake!!
Ana lake lipi zaidi ya kuhakikisha kondoo wote ndani ya zizi wanabehave?
shangaa tu mchungaji watakuelewaAsante sana hebu shangaa na wewe mimi nitaambiwa Mchungaji analake!!
Hupendi kuanzishiwa thread hapo hapo unapenda kujianzishia thread...
Watu kwa kupenda umaarufu kaazi kweli kweli
Nlikua napiga mahesabu jinsi ya kukwepa kichapo nikakutana na video inayoelezea jinsi ya kumshusha baba mchungaji hasira hata kwenye hali kama ile!!Hana dini huyo! Hujibu PM zangu kama 79 hivi tangia niweke namna ya kukupa kichapo! Ngoja nianze na masredi mengi mengi
Nlikua napiga mahesabu jinsi ya kukwepa kichapo nikakutana na video inayoelezea jinsi ya kumshusha baba mchungaji hasira hata kwenye hali kama ile!!
Sasa baba mchungaji we unataka tupigane au TUPIGANE???Ni kwa faida yako ujue!Lizzy lizzy Lizzy
Lizzy lizzy Lizzy
Lizzy lizzy Lizzy
Shaurilo!
Alafu wewe nakutamani kweli sema kila siku nakuvizia pale kijiweni alafu hutokei.....fanya mpango basi!Usema ukweli
mi naona hao walioanzisha hizo
poster saa nyingine wanataka umaarufu au kukuongezea posters ,thanx na like..ndoo maana wanamchagua mtu ambae anapendwa na wengi ili tufuatilie hiyo poster..
Hey
Usema ukweli
mi naona hao walioanzisha hizo
poster saa nyingine wanataka umaarufu au kukuongezea posters ,thanx na like..ndoo maana wanamchagua mtu ambae anapendwa na wengi ili tufuatilie hiyo poster..
Hey