Je anapokuja juu, kakubeba au umembeba? Mi naona mademu ni maparasite tu na hata awe na hela hawezi kulipa bili ya 1400/- za soda mlokunywa, na tatizo lingine hatosheki si kwa KUMPAKUA sana na hata pesa ukimpa atataka za Jafari, Tony, Juma n.k, Siwaelewagi kwakweli, sijui ni pepo au ndio ile methali ya kitaa isemayo K haijai ndio kila kitu hawatosheki. Hapa nawatoa wale wachacheee ka 1% ambao wanaridhika na kila kitu ila 99% ni feki, Na hii inawafanya wamegwe na kuachwa na wanaume nao hawataki permanent relationship, uanaita HIT AND RUN.