Demu wangu ananinyima sana tunda

Endelea kujitafuta dogo...ukijipata utapewa
 
Acha uzinzi wekeza nguvu kwenye kutafuta hela utaanza kuzikimbia hizo mbunye
 
Mpenda miti akiona Huna nauli ataitafuta mwenyewe, gheto atakuja, atafua, atapika, na ukisinzia atakuamsha umkaze.
Ukweli mtupu, hawa wanaotupiga vibomu vya gesi mara siju mjomba kameza shoka ujue sio wagegedwaji
 
Mwanamke uwa anatoa uchi kiurahisi kwa mwanaume asiye na malengo naye ya kumuoa na mwanaume mwenye pesa
 
Huna Hela tafuta hela anataka Hela, swali fikirishi ulimpata wapi yaani kazini, barabarani, bar, daladala kwenye ndege, kwenye basi, (bus) na wewe kengo lako kwakwe ni lipi mfano mke ama heat and run
 
Unababaika sana gentleman,
chukua uamuzi, songa mbele., hilo bomu litakulipukia vibaya na kusababisha uharibifu na pengine maafa ukiendelea kuliintertain na kulitunza nyumbani kwako.....

Take action, take new direction immeadiatly, kwa usalama wa maisha yako ya furaha na amani yako na ya watoto wako baadae 🐒
 
Sawasawa.Ila,saa nane usiku siyo jana ni leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…