dawa ya wanawake kama hao ni anasboWakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale nimefungua ofisi kubwa sana hapa mjini ya kuchezesha game pes sasa hapa ofisini kuna mkusanyiko mkubwa wa biashara sasa kuna mdada mmoja hapa ana genge ni bonge moja LA demu lakini toka nimefungua sina mazoea nae ila cha kushangaza demu anafosi mazoea mara aje aombe chenchi Mara anisalimje salimie, Mimi no MTU wa kuvaaa saana natupia mno nafikiria demu kadata na mitupio yangu halafu Mimi ni MTU wa kukaa kimya kujali mambo yangu so demu ameonyesha kila dalili ya kunielewa maana mda mwingi amekuwa akinitizama sana,
Wakuu ushauri wenu naona kama sijamuelewa na sitaki kumfanya aumie moyo nifanyaje?
Kwahiyo kukusalimia,kukuomba chenji,na kukutazama tayari umejua anakupenda!inawezekana kama unavyosema unapiga pamba anakukubali uvaaji wako,sasa nakuonea huruma,siajabu siku utakapomwambia unahitaji kuwa naye kimapenzi ukabaki unashangaa anakutolea nje ukabakia kutoa macho...Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale nimefungua ofisi kubwa sana hapa mjini ya kuchezesha game pes sasa hapa ofisini kuna mkusanyiko mkubwa wa biashara sasa kuna mdada mmoja hapa ana genge ni bonge moja LA demu lakini toka nimefungua sina mazoea nae ila cha kushangaza demu anafosi mazoea mara aje aombe chenchi Mara anisalimje salimie, Mimi no MTU wa kuvaaa saana natupia mno nafikiria demu kadata na mitupio yangu halafu Mimi ni MTU wa kukaa kimya kujali mambo yangu so demu ameonyesha kila dalili ya kunielewa maana mda mwingi amekuwa akinitizama sana,
Wakuu ushauri wenu naona kama sijamuelewa na sitaki kumfanya aumie moyo nifanyaje?
Duh, utoto raha!Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale nimefungua ofisi kubwa sana hapa mjini ya kuchezesha game pes sasa hapa ofisini kuna mkusanyiko mkubwa wa biashara sasa kuna mdada mmoja hapa ana genge ni bonge moja LA demu lakini toka nimefungua sina mazoea nae ila cha kushangaza demu anafosi mazoea mara aje aombe chenchi Mara anisalimje salimie, Mimi no MTU wa kuvaaa saana natupia mno nafikiria demu kadata na mitupio yangu halafu Mimi ni MTU wa kukaa kimya kujali mambo yangu so demu ameonyesha kila dalili ya kunielewa maana mda mwingi amekuwa akinitizama sana,
Wakuu ushauri wenu naona kama sijamuelewa na sitaki kumfanya aumie moyo nifanyaje?