Ndugu zangu wana jf.
Mwenzenu yamenikuta.
Hapa nilipo nipo safarini Mwanza nimepanda "ZUBERI"pembeni yangu kuda mdada naye pia anaenda Mwanza ingawa yeye atapiliza kwenda Musoma.
Sasa kimbembe ninachokipata huyu demu anasema anasikia usingizi sana bcoz jana hakulala kwa kuhofia kupitiwa na usingizi,sasa ananiomba anilalie mapajani ili japo apate kupumzika,nilimkubalia japo uvumilivu ulinishinda maana ile kuweka kichwa juu ya zip tuu
Jogoo kawika,nikasingizia nimebanwa kichomi so ainuke avumilie tukifika Dom mie ntasimama nimpishe alale mpanga singida,but hili wazo kalipinga kwa hoja kali!sasa anasema atalala mwanza na bcoz yeye ni mgeni anaomba kampani yangu.
Kwa kifupi huyu mtoto anakwenda kwao likizo na anafanya kazi(wizara ya ulinzi Dar)inaonyesha kama ni mjeda fulani hivi na pia anapete ya ndoa ya silver.
Naomba mnishauri anilalie zipuni au nimchomolee?
Sasa ndio zipuni mkuu?
Na mtoto mwenyewe mashallah kaumbika kama"dondola"
Kweli kabisa.... mandieta naona kaamua tu kutukip busy hapa jamvini, ngoma keshaicheza mwenyewe tayari.Mkuu uko sawa na mimi aise
Mke wa mtu kitu ingine kabisa
Wala haina haja kuuliza uliza mara mbili unaachana nae mbali kabisa
Na inaelekea jamaa hapo katupa ndoano mpaka mwanamke anafikia kumwambia kuwa jana hakulala vyema na anaenda musoma na anafanya kazi wapi hayo yote yameanzia mbali
hapo jamaa kashatupa maneno yake hapa anaomba ushauri je amalizie au aache
Kweli kabisa.... mandieta naona kaamua tu kutukip busy hapa jamvini, ngoma keshaicheza mwenyewe tayari.
Sijui anataka tumsaidie nini!!
"muhenzi kanumba mkuu"
Umenionyesha sehemu nyingine pa kuulekezea mpera...ukija kwangu leo nitajaribu nione utajisikiaje!!Mwache alale, mpera ukirefuka kuelekea sikioni, akili zitamrudia.
Sijakuelewa sawasawa mkuu!
Ndugu zangu wana jf.
Mwenzenu yamenikuta.
Hapa nilipo nipo safarini Mwanza nimepanda "ZUBERI"pembeni yangu kuda mdada naye pia anaenda Mwanza ingawa yeye atapiliza kwenda Musoma.
Sasa kimbembe ninachokipata huyu demu anasema anasikia usingizi sana bcoz jana hakulala kwa kuhofia kupitiwa na usingizi,sasa ananiomba anilalie mapajani ili japo apate kupumzika,nilimkubalia japo uvumilivu ulinishinda maana ile kuweka kichwa juu ya zip tuu
Jogoo kawika,nikasingizia nimebanwa kichomi so ainuke avumilie tukifika Dom mie ntasimama nimpishe alale mpanga singida,but hili wazo kalipinga kwa hoja kali!sasa anasema atalala mwanza na bcoz yeye ni mgeni anaomba kampani yangu.
Kwa kifupi huyu mtoto anakwenda kwao likizo na anafanya kazi(wizara ya ulinzi Dar)inaonyesha kama ni mjeda fulani hivi na pia anapete ya ndoa ya silver.
Naomba mnishauri anilalie zipuni au nimchomolee?
Naombeni mnifundishe neno zuri lakumwambia ili tushuke TINDE nipige mzigo mpaka bujee!!
Maana anazidisha dharau sasa,yani ananiambia mkojo umembana tukifika dom cha kwanza toilet?
Umenionyesha sehemu nyingine pa kuulekezea mpera...ukija kwangu leo nitajaribu nione utajisikiaje!!
Sijakuelewa sawasawa mkuu!
Anamaanisha nenda ukamlulu ukifika Mwanza
Lunch leo nataka nikupeleke sehemu ya ukweli...Nitakupitia twende zetu Joly...wana yama ya mbuzi ya ukweli.Mida ya lunch hii twende Upanga pale karibu na Dar west au twende kwa Chips Eddo?
Mie ntakula chicken thigs, wee kula chicken breast na kitovu.