Demu anamuangalia muda mrefu

Heri lee

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
981
Reaction score
538
Nimerudi kwa nguvu za kijeshi
leo ni hv uko na demu wako mnachati anapita mshkaji demu wako anaanza kumuangalia jamaa mda mrefu hadi unamshtua hii ikoje
 
Nimerudi kwa nguvu za kijeshi
leo ni hv uko na demu wako mnachati anapita mshkaji demu wako anaanza kumuangalia jamaa mda mrefu hadi unamshtua hii ikoje

Anataka wakacheze vikopo na dama maana wote plus wewe ni watoto
 
Anza kumsifia jamaa. Muambia babe, naomba unitaftie viatu kama vya huyo jamaa aisee, vizuri eeh? Kama jamaa ana 6-packs na wewe una 1-paRk, muambie mpenzi naomba unilipie gym, nataka kifua kama cha jamaa hapo.
 
Maana yake ana wish yule ndo angakuwa wake lakini sio ww

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Maradhi mengine ya moyo huwa tunajitakia, yani wew demu wako kumuangalia mtu tu mda mrefu unataka pia tukushauri dah! Ndio maana mapenzi siku hizi ni magumu
 
yan moyon anajutia kwa nini hauna poz za mwendo kama yeye hauna cha kuvutia zaid ya stor
 
Mambo mengine mnatakiwa mjiongeze,sio kila kitu unaomba ushauri.Maana wengine miushauri yetu mibovu humu .Kwa mfano mimi hapo ningekushauri nenda pharmacy kaulizie chloroquin na ununue, unywe vidonge 20 kwa mkupuo.Hautamuona tena demu wako akimkodolea macho shababi mwingne.
 

hahaha Robert ushauri wako nimeupenda.
 
Jiweke kundi bora mkuu dunia inayoyoma hii mambo ya i love you bila vigezo kataaa!!!
Mi kabla sijaoa wakati napuyanga tuuuu nilikuwa nauliza sana wadada hivi; nini maana ya handsome????!!!! Hivi neno i love you linategemea nini???!!!

Then maskani kukawa na maneno kama kiwembe, kipande, chekibobu na chekibobu maarifa!!!!!!

Nikaja gundua wadada wengi wanapenda vipande ambao ni machekibobu maarifa!!!!!
So kimjinimjini kama hutaki kunyanyasika kimapenzi jiongezemo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…