hahahahahaha unatia hadi huruma babu lakini umechelewa my dear mi mke wa mtu na kuchepuka siwezi
umeona eeeeeh kina King'asti wanatetea tu kisa paw kashammiliki tulio nje ya game hata hajali
We bhange ya leo umeipatia wapi? Mamndenyi kafiwa na nani? Keimamae walah, mi mecheka mpk mdomo umegoma kushirikiana na koromeo
Na wewe mtoto wa kike upunguze maswali, utakosa mume uwe kama lara 1, ujisifie kuchuna 1% wakati ungeweza kula 99%. Maswali ya nini? Ukiambiwa mipango imebana mjibu pole mpenzi, Mungu atafungua njia tu. Hata akirudi usiku wa manane muambie pole na kazi mpenzi, nilikumiss lakini. Kula 99% ya mtoto wa mwanamke mwenzio yahitaji akili ya ziada atii!
We muache tu huyu King'asti tutamwambia Paw awe anamzingua.
Mi hapa nna hasira mtu kajiongelesha mwenyewe halafu ananizungua... sijui nimblock? Unanishauri nn miss neddy ?
We muache tu huyu King'asti tutamwambia Paw awe anamzingua.
Mi hapa nna hasira mtu kajiongelesha mwenyewe halafu ananizungua... sijui nimblock? Unanishauri nn miss neddy ?
hahahahahah yaani hata kama ana kosa unampa pole wewe aiseeeeeee si majanga haya mume namtaka na kujifanya zombie no akikosea nataka maelezo yakinifu samaki mkunje angali hajaiva
hahahahahahahah babu unatafuta ban eeeeeh hujui ye ndo jf owner sambaza upendo bhanaTuonane paradiso, umenitia kitanzi kwa mikono yako. Afu mwambie the so called mmeo... simpendi, simpendi na simpendi tena. Ana roho mbaya kama Hitler, vizuri anajisevia yeye tu.
Mie ndo nawapa mbinu sasa za kuingia ndani jumla jumla. Mtu anaahidi unasema asanye in advance. Akishindwa usimkumbushe, akijisemelesha muambie poleee babe, yatanyoroka tu. Hadi ataona aibu. Ila ukiwa mkali umempa sababu. Kwani silaha ya nyumba ndogo ni nini, si wanajidai hawana kelele. Mie ndio sina hata button ya sauti!
Basi stress za kodi zitakuhusu hadi ukome hehehe. Kaka wa watu mamake anatembea km 7 kwenda kanisani, mie kanipa mkoko nakula kiyoyozi. Ntampa pole hata mia, hadi aone aibu (pole zingine anatakiwa ajue tu ni za kumchora hehehe)
hahahahah mpe muda bhana kidogo usikilizie
Hata akipiga bao anaambiwa poleee baba. Chezeiya wewe! Basi stress za kodi zitakuhusu hadi ukome hehehe. Kaka wa watu mamake anatembea km 7 kwenda kanisani, mie kanipa mkoko nakula kiyoyozi. Ntampa pole hata mia, hadi aone aibu (pole zingine anatakiwa ajue tu ni za kumchora hehehe)
Tena ulete rambirambi hapa, usitutanie. Na nna mpango wa kujitongozesha kwa huyo mgane aliefiwa hawara, manake Mamndenyi alisusa nyumba na kila kitu akaondoka na rambo tu. Naenda kumtia stress hadi afe, afu namuachia mamndenyi nyumba yake.
yaani msiba walitunyima, arubaini tumeipaniaje sasa? Rambirambi ulete na sungoggles babu. Hawara unamsusiaje nyumba Mamndenyi? Ila huyo marehemu hata akhera ataenda kuwa small house
Namsikilizia tu mi nna presha basi. Sema tu anananibore.....
unaota eeeh mtu akublock afu akutumie text uliona wapi???
Nikupe nyumba ya Kibamba au ya Bunju? Mrembo kughasiwa na wenye nyumba zao haikubaliki kama mchepuko.
MTU hujamwomba pesa anakwambia oooh nitakupa kesho eeh unasubiria mawiki kadhaaa....
Soma vizur dadangu mbona nimeandika akijakuniunblock:what: inamaana hata akikuunblock hawezi kukutumia text?
ndo walivyo,halafu sijui wanalalamika nini kublockiwa..arghhh!