LDA COMPANY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 340
- 633
Inauma aiseeh! Bora umle kwanza.habari wakuu
Hivi kwa nini manzi mkiachana kabla hujamgonga inaumiza kuliko yule ambaye mmeachana umeshamgonga.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
A true definition of a gentlemanWengine ni vice versa, mpaka niamue kutembea na mwanamke ni kwamba nimejitoa, she deserves.
Akija kuondoka hata kama nimefanya naye mara 100 itaniuma sana.
Ila anayeniacha, au tunayeachana kabla huwa ninakuwa naye peace tu.
Tuko na mawazo sawa.Wengine ni vice versa, mpaka niamue kutembea na mwanamke ni kwamba nimejitoa, she deserves.
Akija kuondoka hata kama nimefanya naye mara 100 itaniuma sana.
Ila anayeniacha, au tunayeachana kabla huwa ninakuwa naye peace tu.
A true definition of a gentleman
habari wakuu
Hivi kwa nini manzi mkiachana kabla hujamgonga inaumiza kuliko yule ambaye mmeachana umeshamgonga.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupenda DonWengine ni vice versa, mpaka niamue kutembea na mwanamke ni kwamba nimejitoa, she deserves.
Akija kuondoka hata kama nimefanya naye mara 100 itaniuma sana.
Ila anayeniacha, au tunayeachana kabla huwa ninakuwa naye peace tu.
Nimekupenda Don
Haha umenikumbusha mtu mmoja hiviHuwa bahati mbaya sana nikitembea na mwanamke once or twice tukaachana kwa sababu zangu naumia kwamba ananilaani kwa kumtumia.
Ila kama hatujafanya nakuwa safi kabisa, maana najua hata laana zake zitakuwa za kawaida.
Nimekupenda Don
Yeye ndio anakupendaga tangu siku nyingi
Acha uongo [emoji3][emoji3]