Demokrasia ni yetu wote

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
619
Reaction score
726
“Kuzuia uchaguzi au kuwapinga wengine wasishiriki katika kupiga kura si tu utoto wa kisiasa, bali ni kiashiria cha ugonjwa wa kijamii unaohitaji tiba ya haraka. Demokrasia isiyolindwa ni ishara ya jamii inayopoteza dira yake. Ni wajibu wa wale waliopewa dhamana kutunza dira ya jamii kwa kutimiza majukumu yao ipasavyo kidemokrasia." Alloyce, P.R.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…