sheikspear
Senior Member
- Aug 31, 2018
- 144
- 58
NAWASHANGAA SANA.
Nawashagaa sana wanaombeza Fatuma Karume kutetea mashoga, wasagaji, kurekodi filamu za ngono na mengine. Fatuma Karume maarufu kwa Jina la shangazi ni muumini mtiifu wa dini ya demokrasia, anaifahamu vyema Itikadi ya dini hiyo. Anaifahamu vyema misingi ya dini hiyo.
Na ndio maana anawashangaa waumini wenzake hao walioidandia demokrasia kwa mbele hali ya kuwa haiwaijui Itikadi yake wala misingi yake. Katika demokrasia kuoana na wanyama, kujioa mwenyewe, kwenda uchi bila ya nguo kabisa, mtu kuzini na wazazi wake, ushoga, usagaji, kuvuta bange......... Ni katika vitu muhimu ambavyo vinaheshimiwa na kulindwa na mfumo huu.
Sasa nyie ambao kwenye Uislam mnaukubali kiitakadi na sio kimfumo na demokrasia mnaikubali kipande kipande kazi mnayo. Sehemu mnaitaka sehemu hamuitaki ndio mnapata shida.
Hiyo ndio demokrasia kama mnaikubali ikubalini. Na kama mnaipinga ipingine moja kwa moja. Msiwe wanafiki wa mfumo mmpende baadhi mchukia baadhi. Tatizo watu walidanganyika kuwa demokrasia ni kupiga kura hali ya kuwa kupiga kura na demokrasia ni vitu tofauti. Kwa kupiga kura kumeitangulia demokrasia.
Enyi waislamu wenye khofu na Allah achaneni na demokrasia kwani ni ukafiri wa wazi kabisa. Ni Uislam peke yake ndio una utatuzi wa matatizo ya watu.