Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,524
- 203,283
Haaa😂😂Wamefuta post zangu sijui wapoje hawa watu
Haaa😂😂Wamefuta post zangu sijui wapoje hawa watu
Eenh bamkwe nawe modunataka tufanyaje kwani?
Hivi tuliishia wapi ba mkwetuchati tu tena wafute
Wamefuta post zangu mrembo mzuri mzuriWamefanyaje tena tuwaite
Jichekee tu mrembo wangu mods wanakeraHaaa![]()
tuliishia kwenye unitumie usimwambie homeboy atume maana ni mswahili.Hivi tuliishia wapi ba mkwe
mod wakujitegemea mimiEenh bamkwe nawe mod
tuliishia kwenye unitumie usimwambie homeboy atume maana ni mswahili.





Acha kunilisha maneno nakumbuka tulivyoishia sio hapo
Hahhaha Mello akupe umod wewe mbona watakoma wabaya wakomod wakujitegemea mimi
tumeishia wapi kwani?Acha kunilisha maneno nakumbuka tulivyoishia sio hapo
Hahhaha Mello akupe umod wewe mbona watakoma wabaya wako
itakuwa mtu ukitaka kulog in utume ya plisner kwanza usipotuma ban la nguvutulia kwanza nitachomoa betri upotee kama shunie
Tumeishia pale picha uliyoiona ilikuwaje ba mkwetumeishia wapi kwani?
itakuwa mtu ukitaka kulog in utume ya plisner kwanza usipotuma ban la nguvu



kama namuona yule mnayegombana kila mda
Ikiwezekana🙄Kwahiyo tuleft
kama namuona yule mnayegombana kila mda
bahati mbaya sikuizi nimepunguza maadui mama mkwe labda wewe tu ningekuzuia kuingia jukwaa lako la tamthilia.
Asubutuuuu leo nashinda apa apa sina cha kufanya ni kunywa beer huku naperuzi jf labda unipe ban mod wetu feliIkiwezekana![]()