Wakuu
reymage we ni shost yangu sana ukiwa na
Dinazarde kwa I'd yangu flan. Nimefurahi kujua ni wewe asee.
Naomba ni PM namba ya max nina shida nae niliwahi onewa na mod.
Kuhusu mada nimeogopa nilitaka nikamkule mmbulu mmoja ila kwa haya yanayohappen asee sitaki tena. C itabidi nipotee sina kifua cha kubeba aibu ndogondogo ....yani nikutunuku K halafu uje unilete kunianika hapa
nitakufa kabla ya siku zangu