Demiss amepotelea wapi?

Me nilikuwa naye SAMBAMBA nikaingizwa na mie nikachambwaa na Uzi juu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nilimwambia we tukana tu ila usitegemee nitakimbya

ia hii Id.

Sahivi mjamaa tunakwotiana fresh 'alibadili id sijui anajua hajulikani πŸ˜€
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yaani sasa hata Mwanamke humu akianzishiwa uzi hakuna kubadili I’d ukauzu mwanzo mwisho
 


Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Kuna Bidada humu , Rafiki anguu....


Si akaingizwa king na Dreva wa wa hizi gari za STL .

Ilibakia kidogo aliweee, ila Jamaa alimpiga Bidada mizinga ya kutosha.



Bidada kwao wana mpunga !!!.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ maskiniiii

Yan humu ndani ni 'play at your own risk.
 
Aiseee
 
Mzee unaupiga mwingi.
 
Endelea kupenda nyuzi zake Demiss yupo humu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…