Natamani kukuuliza we ni nani huko b4 maana naona ni member since sept 2021 😂😂😂😂 na unajua mambo ya 2018.Maneno aliyokua anaonge kwenye uzi ule yalimfanya hadi jamaa mleta mada aanze kuomba msamaha kwa wadau. Alianza kujiona yee ndio mwenye makosa kuleta uzi wa kutapeliwa, wadau wakamuweka 18. Mangungu alikoment bila kutaja mtu bidada ikamtachi akampalamia mzee mangungu akamwaga faili zima. Watu walifurahia ila hapa wanajifanya kumtetea.
Unafki mbaya
Yule gal ana matatizo nadhani maana hafi picha zake za uchi watu waliziona 2018 na 2019 wakamlipua JLW ila bado hakomi.
Halafu kuna watu humu walihifadhi picha zake za uchi ila hapa wanajifanya malaika, nawachora tu[emoji1][emoji1]
Huyo mwenye roho nzuri sio mimi kweli???🙄 Make nna roho nzuri hadi sio poa.....(joke jamani faili langu lisijetua mezani sahivi)Kidume mzima nna ndevu zangu nikatupiwa voko 😁
Sema sio wote wana mambo hayo
Kuna mdada mmoja ana roho nzuri mnoo huwezi amini..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kaza ubongo ila Papa likivuja jua mwanamke umedhalilika sana hasa likiwa linaliwaa...!! Dyudyu labda kiwe kibamiaa.. kama kubwa wadada wataongezeka kukusumbuaDepression ya nini sasa? Mbona pia boroo linakuwa hadharani?
Zaidi ya yote papa ndo lilikuzaa wewe, ni mlango kabisa so what?
Kustafu nini sasa?Uyo mchaga nadhani kesha staafu
Ubuyu upi nimekubania best yangu😍Hawachi ndo unanibaniaga hivo ubuyu!
Tumetoka mbali jomon[emoji848]
Mimi siko katikati jamani. Sikupenda tu yote yaliyotendeka. Sawa mwenzetu alikosea ila ile adhabu aliyopewa ilikua kubwa sana. Ugomvi wa mawe mwenzie akashusha guruneti.Upo kati kati kama Mzigua[emoji23][emoji23][emoji23]
hamkupenda Kijana alivyozongwa na hamkupenda dada alivyotolewa siri.....Ila mnatakiwa mchague kimoja msiwe katikati[emoji23][emoji23]
Unakumbuka ee Yaan watu kuchokozana kila siku hakuna hata maana Yaan eeeSiku hizi humu kumeokoka!
Enzi zile bana bampa to bampa
Inabidi niwe na kifua sometime ujue vinginevyo watashindwa kunituku wenye mali isitoshe mume wangu Dinazarde atakasirika 😁😁[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijapenda umenifunga vidole
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hukuogopa? Mimi ningekua wewe ningemblock hapo hapo. Unatongozaje mtu humjui? Je kama ndo mtu wako nae yuko huku?Kidume mzima nna ndevu zangu nikatupiwa voko [emoji16]
Sema sio wote wana mambo hayo
Kuna mdada mmoja ana roho nzuri mnoo huwezi amini..
I like u,I like this comment
Halafu wewe mchizi snitch kinoma yaani upo kati kati mdogo mdogo dah 😁😁😁Huyo mwenye roho nzuri sio mimi kweli???🙄 Make nna roho nzuri hadi sio poa.....(joke jamani faili langu lisijetua mezani sahivi)
Yeah namie kama mzigua, sikupenda alivomuattack yule kaka kwa kumsema hata akipewa kazi akicheleweshwa mshahara atatangaza....na pia kuanikwa vile haikuwa poa.
Ila pia nlikuaga nabaki hoi zile mishe. Kwamba chini ya hili jua sijui alibakiza biashara gani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kunangwa sasa!!! Watz wavivu, hatujitumi, mtz mimi nlikua nasoma comments tu....
Weka hata ya KimKardashian tunamjua na tunajua siyo wewe lakin jinsi itakavyokua inapendeza tunaanza kuhusianisha na wewe kihisia kuwa utakua mrembo hivyohivyo , Nilishawahi kumtongoza mdada fB kisa napenda jina lake na jinsi anavyo andika comments zake yaani hajaweka hata profile pictures ipo ile kivuli ila nikamsifia kuwa yeye ni mremboSasa wengine tumeweka avatar za kina amber rose jamani utavutiwa nae [emoji23][emoji23][emoji23]
Mnachekesha kweli
Aaaah jamani mimi wanijua vyema kichaa changu kimeishia wapi...Sio nilewe chakari uje kunianzishia thread hapa....unianike hadharani..
Mimi siko katikati jamani. Sikupenda tu yote yaliyotendeka. Sawa mwenzetu alikosea ila ile adhabu aliyopewa ilikua kubwa sana. Ugomvi wa mawe mwenzie akashusha guruneti.
Ila naamini alijifunza kitu Wangari.
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Nilijinunulia, wadada wa JF tuna hela.Washing machine ulijinunulia? Au ulinunuliwa na yule kaka mutamu mutamu 😂😂😂😂
Haaahaa twin nyokoz[emoji16][emoji16][emoji38][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila simara huwaga Upo straight
Mume wako huyo nammudu acha uoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787].Inabidi niwe na kifua sometime ujue vinginevyo watashindwa kunituku wenye mali isitoshe mume wangu Dinazarde atakasirika [emoji16][emoji16]
I like u,I like this comment