[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui mtu unajiamini nini watu wanakujua halafu unaandika uongo.Humu kuna mdada mmoja tu nampenda kishenzi daima siwezi mzingua chochote hata akiniwakia..
Ila hawa wengine ni wa kutupa kwenye dustbin, kuna yule id yake ilikuwa inaanza na k mwisho ni i
Alinicheki pm akaniomba namba ya whatsap cha ajabu nikatongozwa akanipa picha anadai anakaa arusha na mumewe yuko serikalini akapiga video call sikupokea, picha yake ninayo naona niifute maana ni ujinga imepita muda.
Nilipomuona mdada mwenyewe nikamfikiria mumewe nikabaki kumuonea huruma jamaa tu..
Sometime Huruma inaniingia.
Cha ajabu saivi huyu Dada kabadili I'd anashinda mmu kule anadai hatoi papuchi kizembe kabisa anajiheshimu
Nacheka sanaa..
[emoji16][emoji16][emoji16]
Chezea kuolewa Na kibibi chá jf utalianisamehe sirudii tena😁
Hakuna ktu kigumu kama kwenda kumuelezea hisia mtu ambae unahisi siyo hadhi yako, inawezekana pia ndo maana wanawake warembo sana wanachelewa kuolewa maana na yeye akijijua ni mrembo anaku underrate mbaya mbovu kwakua hisia zake ni kuwa na mtu bora zaid yako mwsho wa siku akimkosa ndo anaolewa uzeeni Sasa ili mambo yasiwe meng naamua kusumbuana na kina mwajuma huku mtaani[emoji16]Acha uoga mkuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Humu wote tunaigiziana maisha. Avatar, tunavyoandika na uhalisia ni tofauti.
Ukimuelewa mtu zama pm chaaap maisha yake mazuri utayajua huko mbele mkishaonana.
Sema tu kaka zetu mnalalamikaga eti sisi tuna sura za ancestors wetu ndo maana hawatufuati hawataki kupoteza muda
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]
Mtu unaogopa jumba bovu lisije kukuangukia bure
Nilimkanya akiendelea na tabia hiyo, nambadilisha jinsia afu kikojoleo nakiweka usoniWa kuanikwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yule Hawezi kufanya huo upuuzi labda hawa wanga wengine!! Asante lakini [emoji120][emoji23]!
na vyombo ndani ntaosha?Chezea kuolewa Na kibibi chá jf utalia
Hapa tu umeshavunja sheria... sema kwa sababu nina huruma.Wee uogope kwani unalipiwa Bundle? kama Simu yako na bundle lako simamia unachoamini kikubwa usivunje sheria.
Sio kwa JF aisee..watu wakikaa kidogo wanakumbushia..unakua bullied. Huwezi kuwa na amani especially kama una roho legevu[emoji23]Vitu vinapita na maisha yanaendelea, kuna muda ili usiwape maadui nafasi unakomaa.
Mane asingetoka angekomaa humu humu watu wanasahau na wanaendelea na mengine.
Ni bibi, mimi babu yenu nawathibitishiana vyombo ndani ntaosha?
halafu unawaenjoy watu wewe sio bibi 😁
Ilikuwa imechangamka ila sio kwa kudhalilishana mfano kama Demiss alikuwa ana changamsha mno chit chatIla siku hizi if mitanange imepungua zamani uwii anatoka huyu anaingia mwingine mwezi kila siku michambo daaah
Siku hizi amani [emoji23]
Maji ya chai nimekaa sana.. Nimeacha hadi mbegu pale. [emoji23][emoji23][emoji23] Kuna katoto kakimeru sijui kqliniloga kale? Nilikuwa nafanya kazi kia Airport, nikitoka kazini naunganisha moja kwa moja naenda kulala maji ya chai.Maji ya chai moja hiyo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijapenda umenifunga vidolembona hata Mimi mwenyewe mbaba hakuna tofauti ila huwa nakuwa nna huruma na waume zao labda au mabwana zao
Tuishie hapa [emoji16]
Hapa tu umeshavunja sheria... sema kwa sababu nina huruma.
Hahaha twin ungekosa hapa nimgejimurder[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23]Jamaa alifanya fair, huyo dada alimnanga sana huyo kijana wa passport mpaka akatukwaza wengi....baada ya hapo akanyamazishwa kwa lazima.
K vant kubwa!!!!!![emoji23][emoji23][emoji23] Asante sana najua unanijali sana ni basi tu !!!Nilimkanya akiendelea na tabia hiyo, nambadilisha jinsia afu kikojoleo nakiweka usoni
Akanitaka radhi kwa kunipa K Vant kubwa mbili yakaisha
Ilitakiwa segment kwenye mashamsham NGENDEMBWE na ALIEVURUGWA zije jf 😁Ila siku hizi if mitanange imepungua zamani uwii anatoka huyu anaingia mwingine mwezi kila siku michambo daaah
Siku hizi amani [emoji23]
Hutaki unafki mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kiukweli sikupenda alivyokua anamtetea na kumkandamiza yule kijana na sikupenda pia alivyowekwa waziMimi nimechoka na kucheka[emoji23][emoji23][emoji23]kule walifurahi huku wanasikitika[emoji23][emoji23]
Mimi nilifurahia niwe mkweli[emoji23][emoji23]
Hawachi ndo unanibaniaga hivo ubuyu!Nilikuwa natumia Hawaachi na niliwahi kusema hapa jukwaani
"Rejection hurts" kwa sauti ya anko Juju Nyani NgabuLeo ndio nimejua maana kamili ya msemo "Kukataliwa kubaya, kukataliwa mateso"
Acha nimwachie Mungu, hamna namna tena
K vant kubwa!!!!!![emoji23][emoji23][emoji23] Asante sana najua unanijali sana ni basi tu !!!