Yapo vizuri tuu. Watu wanahusiana balaa huku Sema inategemeana unahusiana na nani? Na mara nyingi wanaoacha uchi wenzao ni wale waloumizwa baada ya mahusiano kufa. Mkihusiana mkaachana kwa amani hakuwezi kutokea mazingira ya kudhalilishana. Sometimes tunalipia maumivu tuliyowasababishia wengine kwa kudhalilishwa.