Demba tafadhali kwa hili

najisikia raha sana
Asante hii ni raha yakuambiwa unapendwa bado ujapata raha yakupendwa utanikimbia kwa kwa mapenzi nitakayokupa mamii love you soo much huu ni msisitizo kwa kidhungu sawa ehee!

watu8 huoni kaieka mmu? hii itakuwa ya kweli kweli bana
Nikwali kabisa ndo maana nimeweka hadharani ingekuwa fake ningeweka PM!

kumbe rahisi hivyo...ngoja na mimi nijaribu atiii :becky:
Bahati ya mwenziyo usiitolee mifanao utaangukia pua!

Makopa nipoteze
Mahaba niuwe!

Mfunguka kakimbia mjadala, mfungukiwa analisongesha. Nshahisi kitu hapa!
Siujui ndomaana nimeka kimya lengo langu limetimia sasa nafunguka!

Wewe mwaribifu huna lolote ndo maana umekopi kila mahali unafiki umekujaa huna lolote!

haa yaani leo leo tu?
Asante kwa kunihakikishia ila kwaleo hizo ndo feeling zangu!
 

dah! Mkuu hiyo yangu ni exceptional. Mzee wa digital
 


Mkuu mbona wanifuata kila kona utadhani wewe kivuli changu??? Leave DEMBA alone tafadhali sana
 
Last edited by a moderator:
DEMBA kwa huyu KakaKiiza unafanya nn hadi muda huu? Njoo nyumbani haraka sana.
 
Last edited by a moderator:
Aisee ......

Hivi snowhite yuko wapi?

Nina muda sijamuona ....!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…