jifanye unaniongelea mimi kwamba na tiba kumbe unamaanisha wewe
humu watu wanaanza kimasiara hvyo hvyo baadae wanaingia pm baada ya mda namba za sim tayar watssap kitakacho baki hapo ni ahadi ya gest tu. Jf kiboko
kubali pacha ......tutagawana majukumu.
hahahaaa umeona eeh? Na uende tu kwani si ndugu wa mumeo huyo? Havigombi atii...
pacha kama unamtu yupo bunge la katiba naomba uniconnect naye tafwadhali nina maoni muhimu sana nataka yaingizwe kunako katiba mpya
najisikia raha sana
kumbe rahisi hivyo...ngoja na mimi nijaribu atiii :becky:
mfunguka kakimbia mjadala, mfungukiwa analisongesha. Nshahisi kitu hapa!
makopa nipoteze