miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,821
- 48,975
Haa haaa MISS CHAGA hupendi kusaidiwa kukata mauno?? au ww ni zaid ya SNURA??
me mwenyewe kukata hayo mauno ni mzito alafu mtu aje anikatikie si ataniumiza na kunichosha sitaki
Haa haaa MISS CHAGA hupendi kusaidiwa kukata mauno?? au ww ni zaid ya SNURA??
Chanja mwili mzima hadi machoni, ili akikukubalia aijue kabisa kamkubalia mzimu

akiwek tu anaanza kukata kiuno... hata me ningekimbia ningehisi panga boy
Chanja mwili mzima hadi machoni, ili akikukubalia aijue kabisa kamkubalia mzimu
Utasema umepata mkongo, kumbe mwenzako ni chale