Joweba Senior Member Joined Aug 13, 2015 Posts 166 Reaction score 87 Oct 8, 2015 #1 Jamani e! Naombeni ushauli wenu, maana kuna uyo msichana hajawahi kuniona wala mie kumwona lakini anajishobosha kwenye simu, isitoshe ni mdogo ake lafiki angu.
Jamani e! Naombeni ushauli wenu, maana kuna uyo msichana hajawahi kuniona wala mie kumwona lakini anajishobosha kwenye simu, isitoshe ni mdogo ake lafiki angu.
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,048 Reaction score 13,495 Oct 8, 2015 #2 Mwambie kaka yake.
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,675 Oct 8, 2015 #3 mwaka huu form two hawana mitihani?
Sirdirashy JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 3,252 Reaction score 3,074 Oct 8, 2015 #4 Inamaana na ww nikaka mfanye km mdogo wako bas uskute anakutteat km kaka yake ila ww unafikiria kwengine
Inamaana na ww nikaka mfanye km mdogo wako bas uskute anakutteat km kaka yake ila ww unafikiria kwengine
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 26,003 Reaction score 96,272 Oct 8, 2015 #5 The Boss said: mwaka huu form two hawana mitihani? Click to expand... Huyu bado hajafika form two. Hajui hata kuandika rafiki
The Boss said: mwaka huu form two hawana mitihani? Click to expand... Huyu bado hajafika form two. Hajui hata kuandika rafiki
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Oct 8, 2015 #6 Wacha wee
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Oct 8, 2015 #7 Kamsemee kwa mama ake.
Joweba Senior Member Joined Aug 13, 2015 Posts 166 Reaction score 87 Oct 8, 2015 Thread starter #8 Jimena said: Huyu bado hajafika form two. Hajui hata kuandika rafiki Click to expand... acha umbea Jimena, nawew unakuw kam uyu mdogo ake jamaa angu xio?
Jimena said: Huyu bado hajafika form two. Hajui hata kuandika rafiki Click to expand... acha umbea Jimena, nawew unakuw kam uyu mdogo ake jamaa angu xio?
mr promise Senior Member Joined Feb 14, 2015 Posts 142 Reaction score 135 Oct 8, 2015 #9 hizo ni story za darasa la pili wakiwa mapumziko
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 26,003 Reaction score 96,272 Oct 8, 2015 #10 Joweba said: acha umbea Jimena, nawew unakuw kam uyu mdogo ake jamaa angu xio? Click to expand... Sio umbea Joweba nakushangaa unavyoleta stori za darasa la tano kana kwamba sisi ni watoto wenzio Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Joweba said: acha umbea Jimena, nawew unakuw kam uyu mdogo ake jamaa angu xio? Click to expand... Sio umbea Joweba nakushangaa unavyoleta stori za darasa la tano kana kwamba sisi ni watoto wenzio