DELL OPTIPLEX Desktop ZINAUZWA..

DELL OPTIPLEX Desktop ZINAUZWA..

mamakibunju

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
1,009
Reaction score
223
Dell Optiplex desktop zikiwa complete yaani pamoja na Keyboard na Mouse zinauzwa,ziko kumi, bei ni 300,000 kila moja mwenye kuhitaji ani PM
 

Attachments

  • 1400578020007.jpg
    1400578020007.jpg
    16 KB · Views: 115
  • 1400578041219.jpg
    1400578041219.jpg
    17.7 KB · Views: 86
  • 1400578056337.jpg
    1400578056337.jpg
    22.7 KB · Views: 84
  • 1400578075481.jpg
    1400578075481.jpg
    28.2 KB · Views: 70
Tangazo lako halijakamilika kaka,weka specifications..
 
Nahitaji Desktop yenye uwezo mkubwa kwa ajili ya kazi zangu binafsi. Iwe na space kubwa Processor kubwa Ram kubwa pia na hata Fifa and the like niwe nacheza
 
Nahitaji Desktop yenye uwezo mkubwa kwa ajili ya kazi zangu binafsi. Iwe na space kubwa Processor kubwa Ram kubwa pia na hata Fifa and the like niwe nacheza


zinaweza kufanya kila kitu we ni pm nikutumie no unipigie uje kuziona utafurahi mwenyewe, ndio kwanza zimefika from UK
 
Tangazo lako halijakamilika kaka,weka specifications..


Nyie ndio walewale kila siku tangazo alijakamilika niwekee specification, kama nikikuwekea specification za uongo JE? Hizo picha nilizoweka ukiona ndio hizo hizo, Kama wewe serious mteja ni PM nikupe namba ya cm uje uangalie specification ka kila kitu mwenyewe…. Kama vipi pita kimya..U HEARD
 
Nakupim namba uje kucheck mzigo ukipenda tufanya biashara ....
 
Mkuu sijajua upo wapi mimi nipo Dodoma naihitaji moja kama ni Dar sehemu gani nimwambie mshikaji aje azicheck
 
Back
Top Bottom