Hi waungwana.Naomba mnisaidie ni wapi ninaweza nikanunua battery la dell d620 kwani nililo nalo halinifai kabisa kwani limekwisha sana,yaani haliwezi hata kutunza charge hata kwa dakika 20.Mnaweza kuona jinsi ninavyokerwa nayo.
Hiyo Model ya Long Time Sana na hata ukijapata nayo itakuwa ni ya long time pia but usikate tamaa tafuta watu waendao China Guangzu zipo tele zimejaampaka aibu
Kaka kwanza nikushukuru sana kwa moyo wako wa kupenda kuwasaidia waliotindikiwa kama mimi.Kwa wengine si lazima uandike,kama huna jinsi ya kusaidia ni bora ukanyamaza,utaonekana mstaarabu hata ni mpumbavu.Mi naishi Kahama kwa sasa ilanarajia kujiunga na chuo fulani huko Moro mwezi ujao,nitakapokua huko itakwenda mitaa hiyo kupata bidhaa hiyo.ASANTE SANA
[h=1]NEW Battery for Dell Latitude D620 D630 D630N D631 D640[/h][h=1]Mzee kama bado hujaipata hiyo battery ya laptop yako, sisi tunaweza kukuagizia kutoka New Jersey, USA ambako tumezipata mpya. Bei yetu ya sokoni ni $ 76.63 na gharama ya kuisafirisha mpaka Dar ni $ 15.00 hivyo jumla ni $ 91.63 au equivalent in Tshs kutegemeana na soko la madafu hapo Dar siku unayokuja kulipia. Utalipia ikishafika Dar kwa agent wetu aliyeko karibu na Posta mpya hapo Dar es Salaam. Kwa maelezo zaidi au kama unahitaji kitu kingine chochote ambacho huwezi kukipata kwenye masoko ya kawaida hapoTanzania basi tuandikie kwenye pacificamarine@yahoo.com ili tufanye biashara.[/h]