Shukran mkuu, ila service pack zote zilifutika je naweza kudown moja moja na ku install upya?-click start
-type msconfig.exe itakuletea items
-kwenye service tab check hide all microsoft services kisha bonyeza kitufe cha disable all
Bonyeza ok
Restart
Nenda kwenye controll panel kisha turn on automatic updating kisha connect internetShukran mkuu, ila service pack zote zilifutika je naweza kudown moja moja na ku install upya?
Asante mkuu inabid ni download tu naona nilifuta kila kitu yaan pc saiz ipo kama box tuNenda kwenye controll panel kisha turn on automatic updating kisha connect internet
Itachukua kama nusu saa kuinstall lkn hakikisha ume back up files zako muhimu
Kama ukishindwa kuinstall hizo packs kupitia window updates basi nenda kwenye website yao ya microsoft download packs zao kulingana na window yako
Fanya hivyo download maana service pack ndio kila kitu..ila angalia version ya window yako kama ni 32 bits au 64 bitsAsante mkuu inabid ni download tu naona nilifuta kila kitu yaan pc saiz ipo kama box tu