Wakuu hii laptop inashida ya kuwaka
Yaani uki press power button kitaa chake kinawaka but display haiwaki, sometimes inakubali kuwaka fresh tu
Inapogoma kuonyesha kioo hata niki connect vga na monitor nyingine pia hicho kioo hakionyeshi.
Msaada wakuu kwa mwenye kujua tatizo la hii laptop.
Natanguliza shukrani