Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 19,037 Reaction score 22,583 May 10, 2014 #1 Habari wadau, nina hiyo laptop tajwa hapo juu ukichomeka adopter taa ya kwenye adopter inazima. Kwa mliowahi kutana na tatizo hili au kufahamu namna ya kulitatua tafadhali msaada wenu unahitajika
Habari wadau, nina hiyo laptop tajwa hapo juu ukichomeka adopter taa ya kwenye adopter inazima. Kwa mliowahi kutana na tatizo hili au kufahamu namna ya kulitatua tafadhali msaada wenu unahitajika